BIBLIOTHEQUES DE L'UNIVERSITE DU BURUNDI


Catalogue en Ligne des Bibliothèques de l'Universite du Burundi

Makosa Yanayojitokeza katika vitabu vya Kiswahili sanifu vya shule za msingi nchini Burundi ( kuanzia darasa la kwanza mpaka darasa la tisa)

Additional authors: dir -- Nshimirimana, Dorothée
Published by : Université du Burundi, Faculté des des lettres et Sciences Humaines (Bujumbura) Physical details: VII-97 f. 30 cm. Year: 2017

Mémoire présenté et défendu publiquement en vue de l'obtention du grade de Licencié en Langues et littératures Africaines

MUHTASARI

Katika kazi hii ya utafiti lengo kuu lilikuwa la kuonyesha makosa yanayojitokeza katika vitabu vya kiswahili vya shule za Msingi nchini Burundi kuanza darasa la kwanza mpaka darasa la tisa.

Lugha ya Kiswahili inayofundishwa katika shule za Msingi nchini Burundi imekumbwa na changamoto kwani vitabu vilivyoandikwa kwa lugha hiyo vinadhihirisha makosa ya vitengo vya isimu kama vile fonolojia,mofolojia,semantiki,sintaksia na tafsiri.

Katika kazi hii, makosa ya vitengo hivyo yameorodheshwa na kukusolewa na imeonekana kwamba sababu za makosa hayo kutokea ni kuathiriwa na lugha ya kwanza ya wandishi(kirundi), kutokuwa makini wakati wa kuandika pamoja na kutozingingatia sarufi ya kiswahili. Idadi ya makosa imeonyeshwa kwa kila kitabu cha mwalimu na cha mwanafunzi na matokeo ni kwamba vitabu vya darasa la tisa na vitabu vya ngazi ya pili ndivyo ambavyo vina makosa mengi kuliko vitabu vya madarasa mengine.

Kwa kumalizia, ni kuwa vitabu hivyo vinapaswa kukosolewa ili kuimarisha lugha ya kiswahili nchini Burundi kama lugha zingine.

There are no comments on this title.

to post a comment.
© 2019-2024 - Bibliothèque centrale |Tous droits réservés
home | Contact nous | tel : +25779204313